WHY SCHOOL IS IMPORTANT:KENYAN EDITION


So awhile back i managed to post the following posts stolen from facebook and the awesome world of the Interwweb:

4109811_700b_v1

WHY SCHOOL IS IMPORTANT

https://schizoidlawi.wordpress.com/2012/06/11/why-school-is-important/ 

and

DEATH BY THE PEN:

https://schizoidlawi.wordpress.com/2012/08/05/death-by-a-pen-kenyan-story/

 to show why (though i don’t advocate for it) The Education system is important atleast to a certain level,but hey maybe its just me and my retarded thought process…You be the judge.

The following is a leaked Insha(or atleast i presume it isnt) stolen from a dear friend

LEAKED 2012 KCPE INSHA.
NASKIA THIS STUDENT NIWA KAYOLE..
(in brackets ni zile words nimeweza kutranslate)
… Kichwa cha Insha:
Asiye sikia la mkuu uvunjika
guu
Lol habari ndo io, hii methali
naitambua jo,xaa xkia nikupe
risto(stori).
Nikiwa daro ya tatu,Johnnie
alikuwa mnane(class 8) huu
boy alikuaga ndo babayao
yaani ule boy janjez,kwanza
nakumbuka alikuwa na
mapweety(preety)
gyals,ustake ona vyenye
alikuwa anakulisha maboy
wengine machungu imagine
mi pia nilikuwa nakula moto
coz alivukaga na crush wa me
lmfao.
Kumurder chuo hakupata
makchere(pesa) ya kuenda
xeco xaa ikabidi ameanza
kuhuxtle. Akaanza kuuza
maclady(nguo),manze
akalemewa cos haina
mukuchu(pesa) poa..
Saa xii uxkie,akapatana na
Omosh ule boy mmoja wa
Koch gondi kuruka,xaa
omosh akamuoneshea kuna
njaro poa na easy kuget doh.
Manze si wakashikana. Noma
sio noma wakakua magondi
hatata yaani wagwan aka
ndialala aka ngori sio ngori.
Manze mthama(mama) wake
kuskia ivyo akajaribu
kumuoneshea but wapi
Johnnie axkiagi ya pastor wale
mteka maji nairobi river.
Johnnie alianza kuoza
(kutajirika),akaanza kudunga
vi-expe,kumbe pia mabang’a
(polisi) walikua wameuma
para yake(washamgundua),u
guy kumbe day za muizi ni
arba(40),c day mmoja
walipanga kuenda kuiba
kumbe walikuwa
wamepangiwa na mabang’a
LoL nikunoma,xaa vyenye
wametokelezea kuiba c
mabang’a wakatokelezea,
haaa!!! Usbonyenze,c
makarao walitoa feh(bunduki)
na kuanza kuwashoot wololo
weko wagwan
popcaan,manze akina Johnnie
wakapatikana bahati mbaya
manze omosh akamadwa
(kuuliwa) halafu akawekelea
bonoko kama kawa lakini
johnnie alikula ya mguu xaxa
nikiwete.
Ama kweli wagenge si unajua
waenga walidedi
hawakukoxea waliposema
axiye xkia ya mkuu uvunjika
guu

Advertisements

One thought on “WHY SCHOOL IS IMPORTANT:KENYAN EDITION

  1. When I entered class I walked slowly to my desk and when I tried to sit it was so pain I could not seet. So I seeted on air above my chair holding my desk. From that day I sweya I will never come to school late again even if the makaa was poured on water!!!.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s